Al-Kahf 18:64 قال ذالك ما كنا نبغ فارتدا على اثارهما قصصا ٦٤
قَالَ
ذَٰلِكَ
مَا
كُنَّا
نَبۡغِۚ
فَٱرۡتَدَّا
عَلَىٰٓ
ءَاثَارِهِمَا
قَصَصٗا
٦٤
(Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo kuwa tunayataka. Basi wakarudi nyuma kwa kufuata njia waliyo jia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mūsā akasema, «Yaliyotokea ndiyo ambayo tulikuwa tukiyataka, kwani hiyo ni alama yangu ya mahali pa mja mwema.» Hapo wakarudi wakizifuata alama za nyayo zao mpaka wakakoma kwenye jiwe.
Mūsā akasema, «Yaliyotokea ndiyo ambayo tulikuwa tukiyataka, kwani hiyo ni alama yangu ya mahali pa mja mwema.» Hapo wakarudi wakizifuata alama za nya…