Al-Kahf 18:84 انا مكنا له في الارض واتيناه من كل شيء سببا ٨٤
إِنَّا
مَكَّنَّا
لَهُۥ
فِي
ٱلۡأَرۡضِ
وَءَاتَيۡنَٰهُ
مِن
كُلِّ
شَيۡءٖ
سَبَبٗا
٨٤
Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Sisi tulimpa udhibiti katika ardhi na tukampa sababu na njia za kila kitu za kufikia ayatakayo ya kukomboa miji nakuwashinda maadui na yasiyokuwa hayo.
Sisi tulimpa udhibiti katika ardhi na tukampa sababu na njia za kila kitu za kufikia ayatakayo ya kukomboa miji nakuwashinda maadui na yasiyokuwa hayo…