Al-Muuminun 23:65 لا تجاروا اليوم انكم منا لا تنصرون ٦٥
لَا
تَجۡـَٔرُواْ
ٱلۡيَوۡمَۖ
إِنَّكُم
مِّنَّا
لَا
تُنصَرُونَ
٦٥
Msiyayatike leo! Hakika nyinyi hamtanusurika nasi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hapo waambiwe, «Msipige kelele wala msiombe kuokolewa leo! Nyinyi hamuwezi kuziokoa nafsi zenu, na hakuna yoyote atakayewaokoa na adhabu ya Mwenyezi Mungu.
Na hapo waambiwe, «Msipige kelele wala msiombe kuokolewa leo! Nyinyi hamuwezi kuziokoa nafsi zenu, na hakuna yoyote atakayewaokoa na adhabu ya Mwenyez…