Al-Muuminun 23:96 ادفع بالتي هي احسن السيية نحن اعلم بما يصفون ٩٦
ٱدۡفَعۡ
بِٱلَّتِي
هِيَ
أَحۡسَنُ
ٱلسَّيِّئَةَۚ
نَحۡنُ
أَعۡلَمُ
بِمَا
يَصِفُونَ
٩٦
Kinga maovu kwa kutenda yaliyo mema zaidi. Sisi tunajua wayasemayo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Pindi wanapokufanyia ubaya maadui zako, ewe Mtume, kwa maneno au vitendo, basi usiwalipe ubaya, lakini uondoshe ubaya wao kwa kuwafanyia wema. Sisi tunayajua mno yale wanayokubandika washirikina ya sifa za ushirikina na kukukanusha, na Atawalipa kwa hayo malipo maovu mno.
Pindi wanapokufanyia ubaya maadui zako, ewe Mtume, kwa maneno au vitendo, basi usiwalipe ubaya, lakini uondoshe ubaya wao kwa kuwafanyia wema. Sisi tu…