Al-Qalam 68:25 وغدوا على حرد قادرين ٢٥
وَغَدَوۡاْ
عَلَىٰ
حَرۡدٖ
قَٰدِرِينَ
٢٥
Na walikwenda asubuhi, nao wameshikilia azimio hilo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wakaenda kipindi cha mwanzo wa mchana kuelekea kwenye shamba lao wakiwa na lengo baya la kuwanyima masikini matunda ya shamba, wakiwa wana uwezo kamili wa kulitekeleza hilo kulingana na madai yao.
Wakaenda kipindi cha mwanzo wa mchana kuelekea kwenye shamba lao wakiwa na lengo baya la kuwanyima masikini matunda ya shamba, wakiwa wana uwezo kamil…