Al-Qalam 68:28 قال اوسطهم الم اقل لكم لولا تسبحون ٢٨
قَالَ
أَوۡسَطُهُمۡ
أَلَمۡ
أَقُل
لَّكُمۡ
لَوۡلَا
تُسَبِّحُونَ
٢٨
Mbora wao akasema: Sikukwambieni, kwa nini hamumtakasi Mwenyezi Mungu? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Akasema muadilifu zaidi miongoni mwao, «Kwani sikuwaambia myafunge maneno yenu na matakwa ya mwenyezi Mungu kwa kusema ‘Mwenyezi Mungu Akitaka’?»