Al-Qalam 68:44 فذرني ومن يكذب بهاذا الحديث سنستدرجهم من حيث لا يعلمون ٤٤
فَذَرۡنِي
وَمَن
يُكَذِّبُ
بِهَٰذَا
ٱلۡحَدِيثِۖ
سَنَسۡتَدۡرِجُهُم
مِّنۡ
حَيۡثُ
لَا
يَعۡلَمُونَ
٤٤
Basi niache na wanao kadhibisha maneno haya! Tutawavutia kidogo kidogo kwa mahali wasipo pajua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Basi, niache, ewe Mtume, na wale wanaoikanusha hii Qur’ani! Ni juu yangu kuwalipa na kuwatesa. Tutawanyoshea mambo yao kwa kuwapa mali, watoto na neema nyiginezo kwa njia ya kuwavutavuta kwa namna ya wao kutofahamu kuwa hiyo ndiyo njia ya kuwaangamiza.
Basi, niache, ewe Mtume, na wale wanaoikanusha hii Qur’ani! Ni juu yangu kuwalipa na kuwatesa. Tutawanyoshea mambo yao kwa kuwapa mali, watoto na neem…