Al-Qamar 54:7 خشعا ابصارهم يخرجون من الاجداث كانهم جراد منتشر ٧
خُشَّعًا
أَبۡصَٰرُهُمۡ
يَخۡرُجُونَ
مِنَ
ٱلۡأَجۡدَاثِ
كَأَنَّهُمۡ
جَرَادٞ
مُّنتَشِرٞ
٧
Macho yao yatainama; watatoka makaburini kama nzige walio tawanyika! 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hali yakuwa macho yao yamedhalilika, wanatoka makaburini kama kwamba wao kwa kuenea kwao na upesi wa kuenda kwenye kuhesabiwa, ni nzige walioenea pambizoni mwa anga,
Hali yakuwa macho yao yamedhalilika, wanatoka makaburini kama kwamba wao kwa kuenea kwao na upesi wa kuenda kwenye kuhesabiwa, ni nzige walioenea pamb…