An-Nahl 16:5 والانعام خلقها لكم فيها دفء ومنافع ومنها تاكلون ٥
وَٱلۡأَنۡعَٰمَ
خَلَقَهَاۖ
لَكُمۡ
فِيهَا
دِفۡءٞ
وَمَنَٰفِعُ
وَمِنۡهَا
تَأۡكُلُونَ
٥
Na nyama hoa amekuumbieni. Katika hao mna vifaa vya kutia joto,na manufaa mengineyo, na baadhi yao mnawala. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wanyama miongoni mwa ngamia, ng’ombe na mbuzi, Mwenyezi Mungu Amewaumbia, enyi watu, na akajaalia joto katika sufi na manyoa yake, na manufaa mengine katika maziwa yake na ngozi zake na kuwatumia kwa kuwapanda na, wengine miongoni mwao, kuwala.
Na wanyama miongoni mwa ngamia, ng’ombe na mbuzi, Mwenyezi Mungu Amewaumbia, enyi watu, na akajaalia joto katika sufi na manyoa yake, na manufaa mengi…