An-Nahl 16:73 ويعبدون من دون الله ما لا يملك لهم رزقا من السماوات والارض شييا ولا يستطيعون ٧٣
وَيَعۡبُدُونَ
مِن
دُونِ
ٱللَّهِ
مَا
لَا
يَمۡلِكُ
لَهُمۡ
رِزۡقٗا
مِّنَ
ٱلسَّمَٰوَٰتِ
وَٱلۡأَرۡضِ
شَيۡـٔٗا
وَلَا
يَسۡتَطِيعُونَ
٧٣
Na badala ya Mwenyezi Mungu wanawaabudu wasio wamilikia riziki kutoka mbinguni wala kwenye ardhi, wala hawawezi kitu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na washirikina wanaabudu masanamu ambayo hayana mamlaka ya kuwapa riziki itokayo mbinguni kama mvua wala itokayo ardhini kama mazao. Wao hawamiliki kitu chochote wala hapana uezekano wowote kwa wao kukimiliki, kwani wao hawawezi.
Na washirikina wanaabudu masanamu ambayo hayana mamlaka ya kuwapa riziki itokayo mbinguni kama mvua wala itokayo ardhini kama mazao. Wao hawamiliki ki…