An-Najm 53:16 اذ يغشى السدرة ما يغشى ١٦
إِذۡ
يَغۡشَى
ٱلسِّدۡرَةَ
مَا
يَغۡشَىٰ
١٦
Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Pindi huo Mkunazi ulipofinikwa kutokana na amri ya Mwenyezi Mungu na kitu kikubwa hakuna ajuaye sifa zake isipokuwa Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kutukuka.
Pindi huo Mkunazi ulipofinikwa kutokana na amri ya Mwenyezi Mungu na kitu kikubwa hakuna ajuaye sifa zake isipokuwa Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kut…