An-Nisaa 4:148 ۞ لا يحب الله الجهر بالسوء من القول الا من ظلم وكان الله سميعا عليما ١٤٨
۞ لَّا
يُحِبُّ
ٱللَّهُ
ٱلۡجَهۡرَ
بِٱلسُّوٓءِ
مِنَ
ٱلۡقَوۡلِ
إِلَّا
مَن
ظُلِمَۚ
وَكَانَ
ٱللَّهُ
سَمِيعًا
عَلِيمًا
١٤٨
MWENYEZI MUNGU hapendi uovu uenezwe kwa maneno ila kwa mwenye kudhulumiwa. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hapendi Mwenyezi Mungu kwa yoyote adhihirishe neno ovu. Lakini yaruhusiwa kwa aliyedhulumiwa amtaje aliyemdhulumu kwa uovu alionao, ili akibainishe alichodhulumiwa nacho. Na daima Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyasikia mnayoyadhihirisha na ni Mwenye kuyajua mnayoyaficha kati ya hayo.
Hapendi Mwenyezi Mungu kwa yoyote adhihirishe neno ovu. Lakini yaruhusiwa kwa aliyedhulumiwa amtaje aliyemdhulumu kwa uovu alionao, ili akibainishe al…