An-Nur 24:47 ويقولون امنا بالله وبالرسول واطعنا ثم يتولى فريق منهم من بعد ذالك وما اولايك بالمومنين ٤٧
وَيَقُولُونَ
ءَامَنَّا
بِٱللَّهِ
وَبِٱلرَّسُولِ
وَأَطَعۡنَا
ثُمَّ
يَتَوَلَّىٰ
فَرِيقٞ
مِّنۡهُم
مِّنۢ
بَعۡدِ
ذَٰلِكَۚ
وَمَآ
أُوْلَٰٓئِكَ
بِٱلۡمُؤۡمِنِينَ
٤٧
Na wanasema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na Mtume, na tumet'ii. Kisha kikundi katika hao hugeuka baada ya hayo. Wala hao si wenye kuamini. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wanafiki wanasema, «Tumemuamuni Mwenyezi Mungu na yale ambayo amekuja nayo Mtume na tumezitii amri zao.» Kisha vinatoka vikundi kati yao, baada ya hapo, vikayapa mgongo hayo, visiukubali uamuzi wa Mtume. Basi hao hawakuwa ni Waumini.
Na wanafiki wanasema, «Tumemuamuni Mwenyezi Mungu na yale ambayo amekuja nayo Mtume na tumezitii amri zao.» Kisha vinatoka vikundi kati yao, baada ya …