As-Saff 61:4 ان الله يحب الذين يقاتلون في سبيله صفا كانهم بنيان مرصوص ٤
إِنَّ
ٱللَّهَ
يُحِبُّ
ٱلَّذِينَ
يُقَٰتِلُونَ
فِي
سَبِيلِهِۦ
صَفّٗا
كَأَنَّهُم
بُنۡيَٰنٞ
مَّرۡصُوصٞ
٤
Kwa hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanao pigana katika Njia yake kwa safu kama jengo lilio kamatana. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika Mwenyezi Mungu Anawapenda wale wanaopigana katika njia Yake wakiwa wamejipanga kama kwamba wao ni jengo lililopangika na kuimarika kwa namna ya kutoweza adui kupenyeza kupitia jengo hilo. Katika aya hii pana maelezo ya ubora wa jihadi na wenye kupigana jihadi, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Aliyeta…
Hakika Mwenyezi Mungu Anawapenda wale wanaopigana katika njia Yake wakiwa wamejipanga kama kwamba wao ni jengo lililopangika na kuimarika kwa namna ya…