Ash-Shuaraa 26:77 فانهم عدو لي الا رب العالمين ٧٧
فَإِنَّهُمۡ
عَدُوّٞ
لِّيٓ
إِلَّا
رَبَّ
ٱلۡعَٰلَمِينَ
٧٧
Kwani hakika hao ni adui zangu, isipo kuwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani hao mnaowaabudu badala ya Mwenyezi Mungu ni maadui zangu. Lakini Mola wa viumbe wote na Mmiliki wa mambo yao, Yeye Peke Yake Ndiye ninayemuabudu.
Kwani hao mnaowaabudu badala ya Mwenyezi Mungu ni maadui zangu. Lakini Mola wa viumbe wote na Mmiliki wa mambo yao, Yeye Peke Yake Ndiye ninayemuabudu…