At-Takaathur 102:5 كلا لو تعلمون علم اليقين ٥
كـَلَّا
لَوۡ
تَعۡلَمُونَ
عِلۡمَ
ٱلۡيَقِينِ
٥
Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Siyo namna hii inatakiwa iwashughulishe kushindana kwa wingi wa mali.Lau mnajua kikweli, mngalirudi nyuma na mngaliangusiliza kuokoa nafsi zenu kutoka kwenye maangamivu.
Siyo namna hii inatakiwa iwashughulishe kushindana kwa wingi wa mali.Lau mnajua kikweli, mngalirudi nyuma na mngaliangusiliza kuokoa nafsi zenu kutoka…