At-Tur 52:23 يتنازعون فيها كاسا لا لغو فيها ولا تاثيم ٢٣
يَتَنَٰزَعُونَ
فِيهَا
كَأۡسٗا
لَّا
لَغۡوٞ
فِيهَا
وَلَا
تَأۡثِيمٞ
٢٣
Watapeana humo bilauri zisio na vinywaji vya kuleta maneno ya upuuzi wala dhambi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na miongoni mwa starehe hizo ni kuwa wao watapeana gilasi ya pombe, mmoja wao atampa mwenzake, ili furaha yao ikamilike. Kinywaji hiki kinatafautiana na pombe ya duniani, hakimleweshi akili mwenye kukinywa, wala hakisababishi kubobokwa, wala maneno ya makosa na maasia.
Na miongoni mwa starehe hizo ni kuwa wao watapeana gilasi ya pombe, mmoja wao atampa mwenzake, ili furaha yao ikamilike. Kinywaji hiki kinatafautiana …