Az-Zumar 39:58 او تقول حين ترى العذاب لو ان لي كرة فاكون من المحسنين ٥٨
أَوۡ
تَقُولَ
حِينَ
تَرَى
ٱلۡعَذَابَ
لَوۡ
أَنَّ
لِي
كَرَّةٗ
فَأَكُونَ
مِنَ
ٱلۡمُحۡسِنِينَ
٥٨
Au ikasema inapo ona adhabu: Lau kuwa ningeli pata fursa nyengine, ningeli kuwa miongoni mwa wafanya mema. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Au ikasema, itakapo kuiona adhabu ya Mwenyezi Mungu imeizunguka Siku ya Kiyama, ‘Natamani nipatiwe nafasi ya kurudi kwenye maisha ya kilimwengu nikawa huko ni miongoni mwa wenye kufanya wema kwa kumtii Mola wao na kufanya matendo yaliyoamrishwa na Mitume.’»
«Au ikasema, itakapo kuiona adhabu ya Mwenyezi Mungu imeizunguka Siku ya Kiyama, ‘Natamani nipatiwe nafasi ya kurudi kwenye maisha ya kilimwengu nikaw…