Ibrahim 14:15 واستفتحوا وخاب كل جبار عنيد ١٥
وَٱسۡتَفۡتَحُواْ
وَخَابَ
كُلُّ
جَبَّارٍ
عَنِيدٖ
١٥
Na wakaomba ushindi, na akashindwa kila jabari mkaidi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mitume wakaelekea kwa Mola wao wakamuomba Awape ushindi juu ya maadui wao na Ahukumu baina yao, na Yeye Akawakubalia na Akamwangamiza kila mwenye kujiona asiyekubali haki, Asiyeiandama na Asiyetaka kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kumtakasia ibada.
Mitume wakaelekea kwa Mola wao wakamuomba Awape ushindi juu ya maadui wao na Ahukumu baina yao, na Yeye Akawakubalia na Akamwangamiza kila mwenye kuji…