Ibrahim 14:33 وسخر لكم الشمس والقمر دايبين وسخر لكم الليل والنهار ٣٣
وَسَخَّرَ
لَكُمُ
ٱلشَّمۡسَ
وَٱلۡقَمَرَ
دَآئِبَيۡنِۖ
وَسَخَّرَ
لَكُمُ
ٱلَّيۡلَ
وَٱلنَّهَارَ
٣٣
Na akalifanya jua na mwezi kwa manufaa yenu daima dawamu, na akaufanya usiku na mchana kwa manufaa yenu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na Akawadhalilishia nyinyi jua na mwezi, haviachi kutembea kwake, ili maslahi yenu yatimie kwa viwili hivyo. Na Akwadhalilishia nyinyi usiku, ili mtulie humo na mpumzike, na mchana ili mtafute fadhila Zake na mpange maisha yenu.
Na Akawadhalilishia nyinyi jua na mwezi, haviachi kutembea kwake, ili maslahi yenu yatimie kwa viwili hivyo. Na Akwadhalilishia nyinyi usiku, ili mtul…