Ibrahim 14:46 وقد مكروا مكرهم وعند الله مكرهم وان كان مكرهم لتزول منه الجبال ٤٦
وَقَدۡ
مَكَرُواْ
مَكۡرَهُمۡ
وَعِندَ
ٱللَّهِ
مَكۡرُهُمۡ
وَإِن
كَانَ
مَكۡرُهُمۡ
لِتَزُولَ
مِنۡهُ
ٱلۡجِبَالُ
٤٦
Na kwa hakika walifanya vitimbi vyao, na vitimbi vyao anavijua Mwenyezi Mungu. Wala vitimbi vyao si vya kuondosha milima. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa kweli, washirikina walimpangia njama Mtume, rehema na amani zimshukie, za kumuua. Na vitimbi vyao vilikuwako kwa Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Yeye Amewazunguka. Na vitimbi vyao vikawarudia wenyewe. Na havikuwa vitimbi vyao ni vyenye kuondoa majabali wala vitu vinginevyo kwa udhaifu wake na unyong…
Na kwa kweli, washirikina walimpangia njama Mtume, rehema na amani zimshukie, za kumuua. Na vitimbi vyao vilikuwako kwa Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Yeye …