Qaf 50:22 لقد كنت في غفلة من هاذا فكشفنا عنك غطاءك فبصرك اليوم حديد ٢٢
لَّقَدۡ
كُنتَ
فِي
غَفۡلَةٖ
مِّنۡ
هَٰذَا
فَكَشَفۡنَا
عَنكَ
غِطَآءَكَ
فَبَصَرُكَ
ٱلۡيَوۡمَ
حَدِيدٞ
٢٢
(Aambiwe): Kwa hakika ulikuwa umeghafilika na haya; basi leo tumekuondolea pazia lako, na kwa hivyo kuona kwako leo ni kukali. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika wewe ulikuwa katika mghafala kuhusu tukio hili unaloliona leo, ewe binadamu, ndipo tukakifunua kifiniko chako kilichoziba moyo wako, kughafilika kukakuondokea, basi leo macho yako, katika kile unachokitolea ushahidi, ni makali.
Kwa hakika wewe ulikuwa katika mghafala kuhusu tukio hili unaloliona leo, ewe binadamu, ndipo tukakifunua kifiniko chako kilichoziba moyo wako, kughaf…