Sad 38:49 هاذا ذكر وان للمتقين لحسن ماب ٤٩
هَٰذَا
ذِكۡرٞۚ
وَإِنَّ
لِلۡمُتَّقِينَ
لَحُسۡنَ
مَـَٔابٖ
٤٩
Huu ni ukumbusho. Na hakika wachamngu wana marudio mazuri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hii Qur’ani ni utajo na utukufu kwako, ewe Mtume, na kwa watu wako. Na wale watu wa uchaji Mwenyezi Mungu na utiifu Kwake watakuwa na mwisho mwema kwetu sisi
Hii Qur’ani ni utajo na utukufu kwako, ewe Mtume, na kwa watu wako. Na wale watu wa uchaji Mwenyezi Mungu na utiifu Kwake watakuwa na mwisho mwema kwe…