Yunus 10:100 وما كان لنفس ان تومن الا باذن الله ويجعل الرجس على الذين لا يعقلون ١٠٠
وَمَا
كَانَ
لِنَفۡسٍ
أَن
تُؤۡمِنَ
إِلَّا
بِإِذۡنِ
ٱللَّهِۚ
وَيَجۡعَلُ
ٱلرِّجۡسَ
عَلَى
ٱلَّذِينَ
لَا
يَعۡقِلُونَ
١٠٠
Na hawezi mtu kuamini ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Naye hujaalia adhabu iwafike wasio tumia akili zao. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Haikuwa nafsi yoyote ni yenye kumuamini Mwenyezi Mungu isipokuwa kwa idhini Yake na taufiki Yake. Basi usiisumbue nafsi yako katika hilo, kwani mambo yao yako kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu Ataajaalia adhabu na hizaya kwa wale ambao hawayatii akilini maamrisho Yake na makatazo Yake.
Haikuwa nafsi yoyote ni yenye kumuamini Mwenyezi Mungu isipokuwa kwa idhini Yake na taufiki Yake. Basi usiisumbue nafsi yako katika hilo, kwani mambo …