Yunus 10:81 فلما القوا قال موسى ما جيتم به السحر ان الله سيبطله ان الله لا يصلح عمل المفسدين ٨١
فَلَمَّآ
أَلۡقَوۡاْ
قَالَ
مُوسَىٰ
مَا
جِئۡتُم
بِهِ
ٱلسِّحۡرُۖ
إِنَّ
ٱللَّهَ
سَيُبۡطِلُهُۥٓ
إِنَّ
ٱللَّهَ
لَا
يُصۡلِحُ
عَمَلَ
ٱلۡمُفۡسِدِينَ
٨١
Walipo tupa, Musa alisema: Mliyo leta ni uchawi. Hakika Mwenyezi Mungu haitengenezi kazi ya waharibifu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Walipozitupa kamba zao na fimbo zao, Mūsā aliwaambia, «Mlivyokuja navyo mkavitupa ni uchawi. Mwenyezi Mungu Ataviondoa mlivyokuja navyo na atavitangua. Hakika Mwenyezi Mungu Hakitengenezi kitendo cha anayetembea katika ardhi ya Mwenyezi Mungu kufanya mambo Anayoyachukia na kufanya uharibifu humo kwa…
Walipozitupa kamba zao na fimbo zao, Mūsā aliwaambia, «Mlivyokuja navyo mkavitupa ni uchawi. Mwenyezi Mungu Ataviondoa mlivyokuja navyo na atavitangua…